Long Straight Hairstyles

Straight hair nah....not my style. Curl hair banaaaaaaaaaa😉:thumbup:
 
That's why mnapata mavipara na makansa kwa kutoa vipaumbele na fashion mlizokuwa brainwashed with.

Kinky and nutty hair za kipilipili zinavutia pia ila kwakuwa wazungu wanasema long hair zao ni nzuri baasi dada zetu mnaangaika tu na brazil hair. Karagabao wadada!
 

Ukiwa na kipilipili unaonekana mshamba... ninapenda sana nywele natural.
 

Wengi wa wasichana humu jamvini wana nywele zile maarufu kama kipilipili hahaaa! Full kuvaa mawigi
 
Zamani ndio nilikuwa huko na milace wig na weaving. Nimebaki na natural hair nazipendaje sasa, hadi wadada wengine wanatamani.
 
Ooyooo hata na vidoli vitu huwa havifanani ni vinatafautiana na huwezi kuvifuta ili viwe sawa sawa ni majaliwa ya mungu tuu lakini kuna watu wanapenda kuyabiruwa ya mungu na kwenda zahanati ili kunyosha pua na kununua nyewele za singa ili na yeye awe kama mhindi na huwo mkorogo wake matokeo ya kubabuka tuu na hata ukimwangalea huwona aibu
 
Sipendi nywele ndefu kwanza huwa naona zinanisumbua
 
Zikiwa natural zinapendeza zaid kwa kweli.....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…