Long distant relationship

Long distant relationship

Mpenz wa mbali ni kama sukari kwenye chumba cha watoto hakuna namna wataramba tu.
 
Dah hiyo ni noma, distance never matters incase the roots are strong..maybe kapata mtu mwingine hupo alipo ndio maana
Mmh distance matters alot mkuu, unampa moyo tu
 
Girlfriend wangu recently amehamia mji mwingine (Shinyanga) about 10hrs away. Toka aondoke sio muda sana ni kama miez miwili tu sasa, ila naona mabadiliko ndani ya mahusiano yetu. I love her, but recently the physical distance has been easier to deal with instead of the emotional distance. She is moving on with her life and has no time for us. Muda wowote tukipata nafasi ya kuzungumza hua hayupo peke ake kwahio her attention is not all mine during the few mins we have. I can't speak to her about these things because she has a short temper. I have tried to but it's never been a positive outcome in the past. I feel alone in my relationship. I'm running out of ideas to keep us going. do you have some advice for me?
Nawasilisha.
Tafuta mwengine..huko keshakutana na wajanja zaidi yako.
 
Mi ngoja nikuchane ukweli tu. Huyo 8/10 alishakubwaga. Sana sana anakuweka around uwe emotional support when she needs it. Iko hivi::::

Huko alipoenda atapata guys who she can see everyday, who will make her laugh everyday, and you will be an old story. Distance is a bad thing, unless there was love in the first place. Kiukweli watu wengi hatupendani, zile ni crushes tu za mwanzo. Na distance ikiingia, sparks hupungua, ndio hapo atakapojua kuwa alikuwa hakupendi.

Anyway kama kweli unampenda, Kaa nae mbele aje akuache kwenye mataa freshi. Kama wewe upo mbali na hauwezi kuchochea moto kwa karibu, ujue utazima tu. I have seen girls with Bfs, sijui bf kamuacha Tz, akienda Chuo sasa, guys wanavyombeba.

One way to win any girl, be there for her, be part of her life. Unakuya alikuambia nina bf yupo Dar, lakini after a months of being close. Atakuambia tumeachana kumbe sio kweli. I repeat, kama real love was there, stick around.

Mtazamo wangu tu.

-callmeGhost
uko right 1 bill percent

waswahili wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka
 
Distant love is a real hallucination
 
Girlfriend wangu recently amehamia mji mwingine (Shinyanga) about 10hrs away. Toka aondoke sio muda sana ni kama miez miwili tu sasa, ila naona mabadiliko ndani ya mahusiano yetu.

I love her, but recently the physical distance has been easier to deal with instead of the emotional distance. She is moving on with her life and has no time for us. Muda wowote tukipata nafasi ya kuzungumza hua hayupo peke ake kwahio her attention is not all mine during the few mins we have.

I can't speak to her about these things because she has a short temper. I have tried to but it's never been a positive outcome in the past. I feel alone in my relationship. I'm running out of ideas to keep us going. do you have some advice for me?
Nawasilisha.
Mkuu pole saaana,,, wanawake huwa wanabadlika saana ,,,anza kujiandaa kisaikolojia na kuwa Tatar kwa lolote litakalotokea
 
Angalia ustaarabu mwingine...kashapata njemba nyingine inamuweka busy
 
Sio kwamba nimekosa cha kukushauri basi tu wacha Nipige kimya maana hii kitu inamaumivu balaa.
 
Fight for what you love' Thats the principle of pure love badala yakuendelea kusubiri iwe mbaya zaidi ni bora upande gari umfate aliko ujue nn shida! Ten hrs nikitu kidogo sana if u mean to love her
Akili mbovu km shabiki wa chadema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom