London: Travel Operators urged to put Tanzania on stop sale after governor's anti-gay move

Huyu makonda tunajua ni robot la magu. Ila litamcost sana. Hii vita ya mashoga alianzisha mara ya kwanza ila ikakosa nguvu. Sasa kairudsha kwa kasi kwa amri ya amri mgambo mkuu.
 
A London agent Nick Harding-McKay, owner of Balham-based Travel Designers, has written to his supplier partners asking them to avoid selling the east African country “while such threats to a large section of the community are in place by their government”.

He also added that the governor’s announcement could pose a threat to tourists in the area.

Harding-McKay’s plea followed the news that Paul Makonda, governor of the country’s economic capital Dar es Salaam, told reporters round-ups of gay people would begin in the next week.

Makonda said a surveillance team would also scrutinise social media in order to track down and arrest people who are in same sex couples.

"Give me their names," Makonda was reported as saying by AFP news agency. "My ad hoc team will begin to get their hands on them next Monday."

Anti-LGBT rhetoric has been growing in Tanzania since President John Magufuli took office in 2015.

Makonda, who BBC News described as a “staunch ally” of the president, admitted he expected criticism from the international community over the move, but said: “I prefer to anger those countries than to anger God.”

Harding-McKay said he was still waiting to hear back from most supplier partners, but Andy Freeth, chief executive of If Only replied to say that while the operator did not currently sell Tanzania, the “awful comments” of the governor meant it would “not be featured though If Only anytime soon” unless the situation “dramatically changed”.

A spokesperson for the Tanzania Tourism Organisation, which is a private sector initiative, said: “It is hugely disappointing to hear of any type of prejudice, anywhere in the world.

"We are not fully aware of the legislation or of the actions being undertaken, at present. But the tourism industry is a key contributor to GDP in Tanzania, therefore I would anticipate that the entire tourism industry in the country will want to urgently debate this with the government and act accordingly”.

Agent urges operators to avoid Tanzania after witch-hunt of gay people announced

My Take: Maamuzi yetu japo mazuri lkn yatainufaisha Kenya kwenye sekta ya Utalii.
Hamia Kenya kama na wewe unapenda ushoga. Hapa kwetu hatuhitaji mashoga hata Mungu hapendi mambo yako ndiyo maana aliiangamiza "SODOMA NA GOMOLA" Hivyo mkuu kama unaona watalii mashoga hawatakuja Tanzania sawa tu! Kwa taarifa yako mara nyingi tu mashoga wa ulaya wamefukuzwa nchini wakileta cha kuleta!
 
Huyu makonda tunajua ni robot la magu. Ila litamcost sana. Hii vita ya mashoga alianzisha mara ya kwanza ila ikakosa nguvu. Sasa kairudsha kwa kasi kwa amri ya amri mgambo mkuu.
Shoga pole sana!!
 
Kosa la ushoga kwa nchi kama Saudia adhabu yake ni kubwa sana lakini hatujawahi kuwasikia wakilaani au kuiwekea vikwazo
1. Saudia ana mafuta, rasilimali inayotegemewa duniani kote, hawategemei utalii kuwaingizia fedha za kigeni. Sisi hapa utalii ndio muingizaji mkubwa forex...na product yetu sio ya pekee sana kwa tanzania, zipo nchi jirani ambazo mtalii anaweza kwenda na akapata experience ambayo tunaiuza sisi. Kwahiyo huwezi hata siku moja kulinganisha saudia na tanzania.

2. Pamoja na kwamba saudi nao wana sheria za kupinga ushoga, lakini humsikii Bin Salman akitangaza wazi wazi kuwatishia mashoga na kuanza kuwakamata na kudukua simu zao. Mambo mengine unafanya kimya kimya bila kujitangaza kwenye vyombo vya habari.
 
bado hawajapata tweet ya ngwangwala...watalii MACHOKO kurudishwa airport alisema ngwangwala kwa niaba ya serikali...OOOI OIII KONKI MASTER OIL CHAFUUUU
Alijishtukia akafuta ile tweet yake kabla haijaleta athari kubwa. Waziri mzima huwezi kuwa unatoa kauli kienyeji hivyo, tena anatumia kauli za kihuni
 
Alijishtukia akafuta ile tweet yake kabla haijaleta athari kubwa. Waziri mzima huwezi kuwa unatoa kauli kienyeji hivyo, tena anatumia kauli za kihuni
kule kwao zaidi ya queer,gay kuna majina ukiwaita ni kesi kabisa..kama sisy boy equivalent ya neno choko alilotumia bwana waziri ambaye bahati mbaya mdogo wake wa kiume naye pia ni haohao machoko
 
kule kwao zaidi ya queer,gay kuna majina ukiwaita ni kesi kabisa..kama sisy boy equivalent ya neno choko alilotumia bwana waziri ambaye bahati mbaya mdogo wake wa kiume naye pia ni haohao machoko
Si ndio hapo! Sasa hapa kwetu sitashangaa hata mzee baba akitumia kauli hiyo..ni swala la muda. Yaani tunajipa negative publicity unnecessarily.
 
Hata mwanzilishi wa hii vita mwenyewe ni shoga. Kama unabisha akapimwe ******* kma anayo nifungwe.
Kwa hiyo na wewe ni shoga? Lazima uchomwe moto siku ya mwisho!! Hamia ulaya hapa TZ hapakufai
 
Hamia Kenya kama na wewe unapenda ushoga. Hapa kwetu hatuhitaji mashoga hata Mungu hapendi mambo yako ndiyo maana aliiangamiza "SODOMA NA GOMOLA" Hivyo mkuu kama unaona watalii mashoga hawatakuja Tanzania sawa tu! Kwa taarifa yako mara nyingi tu mashoga wa ulaya wamefukuzwa nchini wakileta cha kuleta!
Huyo mungu mwenyewe wamekuletea wao
 
Bila wao usingejua kama kuna mungu zaidi ya kuabudu majabali na miti tu shukuru hata ustaarabu ulionao wamekuletea wao
Mimi namuabudu Mungu wangu na wala si wamashoga! Nielewe mkuu!! Hata ulaya wapo wanaomuabudu Mungu wa kweli na wala si wa hao mashoga!! Vipi wewe unamwabudu yupi?
 
Mimi namuabudu Mungu wangu na wala si wamashoga! Nielewe mkuu!! Hata ulaya wapo wanaomuabudu Mungu wa kweli na wala si wa hao mashoga!! Vipi wewe unamwabudu yupi?
Huyo mungu wakweli ulimgundua wewe au wazungu
 
Back
Top Bottom