London: Travel Operators urged to put Tanzania on stop sale after governor's anti-gay move

niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,632
2,000
Wazungu wanautukuza sana ushoga.
Neno ushoga ni la lugha gani. Ushoga tumeusikia hata kabla hatujapata utandawazi mnasema ushoga umekuja juzi? Mababu na mabibi walikuwa na mashoga basi ujue.
 

niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,632
2,000
Uko vizur, ni kweli kabsa
Kesi nyingi za watu wanaoua wanaume wenzao huko ulaya na marekani ni wale homosexual sababu hawataki kukubali kuwa wao wako hivyo. Tunaweza sema na hapa wale wanaopiga kelele sana inabidi wafatiliwe sana yawezekana kama siyo sasa huko nyuma walikuwa au wapo vile ila wamevaa ngozi tofauti.

Pilipili usiyoila inakuwashaje?
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,601
2,000
Yaani wazungu wanavyohaha masikini kwa ishu zao kukatazwa wanatamani waje watufunge kamba sote watupeleke camp David ama Guantanamo ...watiane wao na watoto wao ama waende wakaolewe kwa mzee Mugabe make alimwambia Obama akala kona
 

Jorojik

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
3,526
2,000
Hawa wezi kufanya lolote walahi
Vishoga vitapigana na mito baadae vita choka tu walahi
Walevi na watumiaji unga, ni ma addicts, madishi yameyumba walahi
cocochanel kwa kujitoa ufahamu hujambo. Hii I'D yako ya ISIS inaandikaga mambo ya kihuni kwelikweli.
 

albab

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
638
1,000
Sikubaliani kabisa na hii ishu ya ushoga KABISA ila tatizo MAKONDA anaihandle vibaya hii ishu anaipa attention kubwa Sana bila kujua anaiweka nchi yenye kutegemea wahisani pabaya..... Tanzania so nchi ya Kwanza kukataza hi ishu ila ni vuzuri Hawa watu tukadeal nao kwa njia sahihi isiyosumbua Mana naona Sasa TANZANIA TUNAGEUKA SEHEM YA KUTANGAZA USHOGA.
 

pandagichiza

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
3,913
2,000
1. Saudia ana mafuta, rasilimali inayotegemewa duniani kote, hawategemei utalii kuwaingizia fedha za kigeni. Sisi hapa utalii ndio muingizaji mkubwa forex...na product yetu sio ya pekee sana kwa tanzania, zipo nchi jirani ambazo mtalii anaweza kwenda na akapata experience ambayo tunaiuza sisi. Kwahiyo huwezi hata siku moja kulinganisha saudia na tanzania.
Kwa nini nchi zote za Ulaya na Marekani wasimwekee vikwazo Saudia na nchi zingine kama iran, emirates nk kama kweli wanataka haki za binadamu?

2. Pamoja na kwamba saudi nao wana sheria za kupinga ushoga, lakini humsikii Bin Salman akitangaza wazi wazi kuwatishia mashoga na kuanza kuwakamata na kudukua simu zao. Mambo mengine unafanya kimya kimya bila kujitangaza kwenye vyombo vya habari.
 

HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
2,882
2,000
A London agent Nick Harding-McKay, owner of Balham-based Travel Designers, has written to his supplier partners asking them to avoid selling the east African country “while such threats to a large section of the community are in place by their government”.

He also added that the governor’s announcement could pose a threat to tourists in the area.

Harding-McKay’s plea followed the news that Paul Makonda, governor of the country’s economic capital Dar es Salaam, told reporters round-ups of gay people would begin in the next week.

Makonda said a surveillance team would also scrutinise social media in order to track down and arrest people who are in same sex couples.

"Give me their names," Makonda was reported as saying by AFP news agency. "My ad hoc team will begin to get their hands on them next Monday."

Anti-LGBT rhetoric has been growing in Tanzania since President John Magufuli took office in 2015.

Makonda, who BBC News described as a “staunch ally” of the president, admitted he expected criticism from the international community over the move, but said: “I prefer to anger those countries than to anger God.”

Harding-McKay said he was still waiting to hear back from most supplier partners, but Andy Freeth, chief executive of If Only replied to say that while the operator did not currently sell Tanzania, the “awful comments” of the governor meant it would “not be featured though If Only anytime soon” unless the situation “dramatically changed”.

A spokesperson for the Tanzania Tourism Organisation, which is a private sector initiative, said: “It is hugely disappointing to hear of any type of prejudice, anywhere in the world.

"We are not fully aware of the legislation or of the actions being undertaken, at present. But the tourism industry is a key contributor to GDP in Tanzania, therefore I would anticipate that the entire tourism industry in the country will want to urgently debate this with the government and act accordingly”.

Agent urges operators to avoid Tanzania after witch-hunt of gay people announced

My Take: Maamuzi yetu japo mazuri lkn yatainufaisha Kenya kwenye sekta ya Utalii.

Hao wazungu walikuwa wanakuja Tanzania kufanya nini?
 

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,544
2,000
Vumbi tu litatulia hilo. Mashoga wajipeleke wenyewe kwa Makonda kabla ya Jumatatu. Nadhani amesikia kilio cha segerea kule kuwa wapewe ruksa wake zao wawatembelee angalao 1 kwa mwezi. Akaona watazalishwa wengi waso na baba hivyo akiwapelekea hawa watalainisha miili kule B/up sana Makonda kwa ubunifu safi. Hao ma Delicious wakaoneshe uwezo wao wa kuhimili mihogo huko
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom