London: Travel Operators urged to put Tanzania on stop sale after governor's anti-gay move

Stupid operator! Yaani imefikia hatua nchi itishwe na operator!! Nadhani hajifahamu na hafahamu nchi za afrika zikoje. Ni zile hadithi kwamba Afrika wanaishi msituni.
Umeiona kazi ya operator?
 
asante shoga mkuu
Sijawahi kuwa shoga na kamwe haitakaa itokee. Ila nimekuelewa kuwa uchumi wa Dunia mmeushika ninyi na hivyo serikali za nchi masikini haziwezi kupona mpaka zikubaliane na masharti yenu.
 
Back
Top Bottom