London: Kanisa lapigwa faini Tsh2.3mil kwa kelele saa tisa za usiku

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
Muumini mmoja alipohojiwa alidai saa tisa usiku ndio Muda mzuri wa Kupambana na Shetani.

Wananchi wanasema Mchana wamewavumilia ila la usiku saa tisa haiwezekanai. Makelele ya wazungumzaji na sauti kubwa wakati wamelala.

Mchungaji kwa ujeuri alikataa kupatanishwa na tume ya kijamii ikabidi kesi ifike mahakamani.

Chini ya Section 80 ya environmental protection act 1980 wakapaswa kulipa faini ya paund 7500 zaidi ya 23Mil za kitanzania

Hapo na sisi tunahaki ya kuwa na adabu na heshima kuepuka imani au starehe zetu kuwa mzigo kwa wasiohitaji.

London church fined thousands of pounds for holding noisy "demon bashing" 3am services
 
Hizo pesa za Fain wamelipwa Majirani au Jiji ndio limefaidika? kama mimi ndio mkaaji na faini akipewa jiji nawapeleka nao mahakamani waathilike wengine wabebe wafaidike wengine... ni zaidi ya upuuzi
 
Back
Top Bottom