Haya mashindano jirani zetu kenya ndio wanaosha jina sisi bongo tumengangania hili janga la taifa football tumeacha michezo mirahisi yenye kuiletea sifa nchi.yaani mamichezo kibao sijawahi kuona bendera ya bongo inapandishwa na songi letu la taifa linagonwa?aibu sana.ona kenya kila siku kbc ilikuwa makini kuhesabu siku zilizobakia ila bongo ni jana tuu nilisikia tv moja ikitangaza zigine zilikuwa bize na mashindano ambayo hayapo hata kwenye kalenda ya fifa.aibu ngoja tuu sisi wapenda riadha tukashangilie kenya,a.kusini na jamaica