Logo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 588
- 49
Jaman walikuwa wapi hawa? eti siku hizi ndo oooh nimeoteshwa jaman hawa ni wajasiriamali tu wasitumie njia ya ndoto wala Mungu! Ina maana Mungu amerudi kwenye mizizi tu? kazi kweli kweli yaani kila uponyaji mizizi! ooooh Mungu wangu wanakuabisha hawa watu eti mizizi tu ambapo wewe zaidi ni Mungu wa neno!
Karibuni wajasiriamali wapya! Aisee wananifurahisha sana maana wamewazidi hata watalaamu na wasomi! kumbe ujanja upo popote!
Karibia kila mkoa tutapata mana mzizi mmoja! Wacha ukimwi uzagae halafu washindwe kuutibu na vile wanausababisha usiogopwe!