TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,212 Reaction score 13,054 Jul 14, 2013 #1 Picha kwa hisani ya watu wa Fesbuk..
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 14, 2013 #2 Ujing....not safety at all, vikisogea viti ...msamba kushney
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Jul 15, 2013 #3 MadameX said: Ujing....not safety at all, vikisogea viti ...msamba kushney Click to expand... Acha wivu wako, viti vya miguu 4x2 vitasogeaje?, mweache mtoto apate oroda kwa mabega ya baba...:tape::tape:
MadameX said: Ujing....not safety at all, vikisogea viti ...msamba kushney Click to expand... Acha wivu wako, viti vya miguu 4x2 vitasogeaje?, mweache mtoto apate oroda kwa mabega ya baba...:tape::tape:
S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,068 Jul 15, 2013 #4 Inaonekana uroda wakati viti havijateleza!!! Subiri uone POVU la mamamtu pale dogo akidondoka!!!! Hii furaha yote itapotea na MME ndiye MHALIFU (kama kawaida) katika kesi za hivi:embarrassed1:
Inaonekana uroda wakati viti havijateleza!!! Subiri uone POVU la mamamtu pale dogo akidondoka!!!! Hii furaha yote itapotea na MME ndiye MHALIFU (kama kawaida) katika kesi za hivi:embarrassed1:
Marumia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 644 Reaction score 213 Jul 15, 2013 #5 Utoto raha sana jamani!
Prisoner 46664 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2010 Posts 1,948 Reaction score 1,238 Jul 15, 2013 #6 Imetulia.. kwa mtoto hii ni bora kuliko bembea 1000