jaman wana jamvi híi sio story imetokea kweli, kuna dingi mmoja hapa jf mmu alikuwa na tabia ya kupm dada zetu kwa sana tu..
Mzazi huyo ana watoto na familia, siku ya siku akaja akamp mtoto wa kaka yake pasipo kujua manake hakutambua id ya mwanaye huyo, wahamishia mawasiliano kwenye simu lakn wakawa wanachat kwa sms tu, manake yule mzazi aliogopa kama wangekuwa wanapigiana ingekuwa rahs kwa mkewe kushtukia mchezo, wakapanga ahadi wakutane quality center, siku ya siku mzee akiwa njiani anawah apointment gari ikapata pancha ikabdi abadili tairi akamwarifu binti yule amepata tatizo njiani so atachelewa kufika, ila aagize vinywaji yeye atakuja kulipa..
Alipomaliza akaendelea na safari kufika pale akamwuliza yule binti direction aliyokaa na mavazi aliovaa ili amtambue kwa urahsi, ile anasogea tu anakuta ni mtoto wa kaka yake, ikawa bonge la aibu... Wazazi wenzangu hebu tuwe makn basi
Mmmm we ulikuwa wapi hadi ujue hizo pm na pia tueleze huko quality Center ulikuwa upande gani yaani kifupi tupe source la sivyo umetunga hili stori.

jaman wana jamvi híi sio story imetokea kweli, yamemkuta mtu wangu wa karibu sana, ambaye alibadilika gafla akawa kama hajielewi nikambana sana ndo akanisimulia kifupi huyu dingi ni membe hapa jf mmu, alikuwa na tabia ya kupm dada zetu kwa sana tu..