Nilisoma kwenye QUORA tafsiri ya alama hiyo walisema kuwa limemegwa ili kutofautisha na tunda jingine aina ya cherry
Pia nikaja kuona tafsiri nyingine mbaya sana kiasi kwamba kama mtu ana moyo mwepesi anaachana na Apple kabisa
Ila hiyo tafsiri ya Kiswahili hapo juu ina maana ndo ya Google au imetoka wapi, maana... duh[emoji38][emoji2][emoji23]