Logo Design Hacking

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,755
bila shaka baadhi yenu hii logo si ngeni machoni penu.
branding wise,hii ni moja kati ya logo inayonivutia.nikaweka nia siku moja nikipata wasaa nijaribu kui-recreate kwa mbinu na maarifa yangu kwa kuongeza/kupunguza baadhi ya details bila kupoteza uhalisia wa logo halisi.

na hiyo ndio logo niliyo create.


hii ndio logo halisi ya bidhaa husika.


how did i do it?.nakaribisha maoni/maswali.
 

Attachments

  • jf png.png
    155.9 KB · Views: 149
  • Castle_Logo_-_02.JPG
    15 KB · Views: 124
Upo vizuri,nifundishe na Mimi.
 
Reactions: Lee
Nakaribsha maoni na maswali...
 
Logom unatengeneza kwa Tsh ngapi mkuu nikupe kazi.
 
Jaribu kuwa mbunifu, dont copy and paste. Be creative.
 
ok kwa hiyo kuna adobe photoshop, adobe effect n.k?
Yah...app zipo nyingi mkuu.tofauti inaweza kuwa ni tools na jinsi mtumiaji anavo mudu kutumia tools hizo.
 
Ebu ingiza kitwanga apo
 
kazi nzuri mkuu hapo bado hizo fonts tu naona zako na za castle ni tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…