Logistic manager anahitajika

Logistic manager anahitajika

jm group

Senior Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
118
Reaction score
83
Habari wadau nina kampuni ndogo ya kama malori 10 hivi nahitaji mtu wa kuanza nae na kukuwa nae kwenye kampuni yangu mwenye ujuzi wa logistic,accounts record na mawasiliano mazuri ya lugha ya kiingereza na kutumia computer ahsante

Mohamed lardhi
0652222222
0773222222
 
Nitumie email nikutumie vyeti vyangu
 
Habari Kiongozi hizo ndio shughuli zangu nina uzoefu nazo kuanzia Barabarani mpaka records na management.
 
Habari wadau nina kampuni ndogo ya kama malori 10 hivi nahitaji mtu wa kuanza nae na kukuwa nae kwenye kampuni yangu mwenye ujuzi wa logistic,accounts record na mawasiliano mazuri ya lugha ya kiingereza na kutumia computer ahsante

Mohamed lardhi
0652222222
0773222222
Hizo ndio shughuli zangu Mkuu. Nitakukutanisha pia na Wamiliki wenzako wa trucks hizoo.
 
Mkuu hizo trucks zako zinabeba nini? Copper? Kokoto? Or general cargo?
Kama ni kopa nakushauri uzihaulishe kwa makampuni makubwa wakati unaendelea kujitanua..
Natumai utakua na madereva wazoefu wa routes kama Chambishi na Kongo Kinshasa..

TM makini akitokea chuo cha usafirishaji atakusaidia sana.
 
Back
Top Bottom