Login System in php

Chief Lugina

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
286
76
Please naomba kwa yeyote anayeweza niwekea hapa link ninapoweza pata very simple tutorial ya login and reg. System ambayo itakuwa na 4 au 5 access levels..Inaweza kuwa hv: level0-guest, level1-accountant,level2-stock keeper, Level3-admin and so on! Pawe na page moja tu lakini menu zinazo display zilingane na access Level.hapa nime-stack na project inahitajika soon. Hata kama kuna m2 anazo source code naomba a2pie hapa....
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,427
Please naomba kwa yeyote anayeweza niwekea hapa link ninapoweza pata very simple tutorial ya login and reg. System ambayo itakuwa na 4 au 5 access levels...hapa nime-stack na prnject inahitajika mapema. Hata kama kuna m2 anazo source code naomba a2pie hapa....

Mkuu je umepita sourceforge umekosa kabisa? Mfano kuna hii list butinabidi uwe na muda wa kutest solution mbali mbali lakini unaweza kuanza kwa kujaribu zenye zenye dowlao na nyingi. pamoja na recommendation nyingi.

Kama vipi sivyo unaweza kustudy code za login zinazotumika na script kama Joomla, wordpress, Vbulletin. etc But nadhani nayo inahitaji muda. Ukizielewa unazichukua hizo alafu unazifanyia uchakachuzi ziendane na project yako.
 
Sourceforge na planet-source code nimeenda,tatizo nakutana na ile ile ya Grandmaster of C++. Sema nilikuwa interested sa na tuitorial ili niende step kwa step. Sipendi sana arleady made script but kwa leo acha nichakachue tu...Ahsante sana Mtazamaji!
 
Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,211
974
Umefanikiwa kupata hizo tutorial za code za login na reg? kama bado sema.
Please naomba kwa yeyote anayeweza niwekea hapa link ninapoweza pata very simple tutorial ya login and reg. System ambayo itakuwa na 4 au 5 access levels..Inaweza kuwa hv: level0-guest, level1-accountant,level2-stock keeper, Level3-admin and so on! Pawe na page moja tu lakini menu zinazo display zilingane na access Level.hapa nime-stack na project inahitajika soon. Hata kama kuna m2 anazo source code naomba a2pie hapa....
 
dav22

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
1,888
306
tengeneza db yenye field za username,password na access level then wakati wa kulogin unacheck ni access level gani na kumpa the right directory au file path ili awe logged in mfano.
if($access_level='accountant'){
do some staff and redirect to accoutant page
}
if($access_level='admin'){
do some staff and redirect to the admin page
}
else{
echo "problem loggin in";
}

hii ni just simple and vasib mkuu
 
Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,211
974
dav22 We mkaliiiiiiiiii. Atakuwa ameanza kuelewaelewa sasa.

tengeneza db yenye field za username,password na access level then wakati wa kulogin unacheck ni access level gani na kumpa the right directory au file path ili awe logged in mfano.
if($access_level='accountant'){
do some staff and redirect to accoutant page
}
if($access_level='admin'){
do some staff and redirect to the admin page
}
else{
echo "problem loggin in";
}

hii ni just simple and vasib mkuu
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Top Bottom