LODRIGO DUTERTE: Kati ya wamarekani watano watatu ni wajinga(Idiots)

Hahahaa., yaani nimemaliza kusoma uzi nikajikuta nimetamka maneno yako uliyoanza kuyaandika., "Mamaaae huyo ndo mwanaume"
Hahahaa hatari sana namkubali sana huyu jamaa.... wale matajiri wana jiita papaa nani sijui wangekuwa washachezea shaba
 
jana tu kamtukana ule mku wa shirika la UN la haki za binadamu,kasema,'he is an idiot'
 
Kwa hiki kizazi kidogo sample km hii ndo inajitahidi kumtunishia kifua marekani.
 
Mmamaeee huyu ndo mwanaume sasa. Bongo na sisi mapapa ya madawa yangeuliwa hadharani basi mateja leo wangepungua sana

Bangi nayo ni madawa ya kulevya. Kumuua mtu kwa kuuza bangi naona haileti maana. Madhara ya bangi naamini si kama ya heroin au cocaine
 



Nakubaliana naye na sababu kubwa ni mass migration, Migrants ndiyo wanaoshusha IQ levels ya USA!
 
Huyo raisi mwenyewe anahitaji kwenda rehab! Ukimwangilia vizuri utagundua dish limeyumba mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…