kande kavu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 234
- 89
stineriga na pia inawafanya wajifeel comfortableunajua mahali pakiandikwa g.house mtu akiingia tu siku hizi moja kwa moja unaoenekana wakwenda ku-do tu, so wakizipachika jina la lodge, muendaji anakuwa anajiona anaingia sehemu yenye hadhi, na labda sababu haina jina la g.house anaweza asionekane anakwenda ku-do ...
Waungwana eeh!
Hivi ni kwa nini hizi nyumba za Wageni (Guest houses) siku hizi hazitumii sana hilo jina na badala yake neno Lodge ndo linachukua kasi? Je ni mahitaji ya wateja hasa wenyeji kutokuwa comfortable kwenye nyumba za wageni?