Lodge za Moshi

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Habari wanajamii,

Kuna mtu anafahamu lodge yoyote iliopo karibu na stendi ya mkoa ya Moshi ambayo gharama yake ni around 15,000 - 20,000.

NTASHUKURU MKINIHABARISHA
 
Nenda Seven Up. Bei ni elf 15 tu na ni pasafi Mkuu. Namba yao ni 0719 611 178.
 
Nenda Tausi Bar&Guest House kule hadi 10,000/=
lkn ujue kuna Bar na wanywaji wengi wanapenda mipira kunya, supu (namaanisha makelele walishalewa)
mitaa hiyo hiyo ya Mafuta Street na Dar'slaam Street zipo nyingi za 10,000/= hadi 15,000/=
km huna mizigo chukua Bodaboda ya buku hadi Stand
hiyo mitaa ya karibu kwa miguu Guest ni bei ghali hasa
 
Ebony iliyoko kwenye barabara yakwenda Mawenzi ipo? na Silayo?
 
Nenda jengo la K.N.C.U hapo opposite na chriss burger's.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 

Simshauri afike hapo..
 
Karibu moshi ila kwa hapa moshi nyumba za wagen hazipo karibu sana na stend hasa za bei uliyonayo zipo ila ni bei sana(hotel) ila kuna moja inaitwa Siesta ni kati ya bei uliyonayo inautulivu wa hali ya juu ukifika stend chukua boda boda ya buku itakufikisha. Karibu mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…