Lodge nzuri Mwanza

Lodge nzuri Mwanza

we jamaa lodge zimetapakaa njia nzima....nenda ilemela hapo barabarani...shukia shule ya bright zipo lodge za kumwaga za 15000 safi kabisa..ni km 3 kufika airport..hata kwa mguu unaenda
 
kuna logde ipo km 1.5 kutoka airport ukipanda daladala unamwambia konda akushushe P.P LODGE hutapata tabu yoyote ndugu
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom