Flomi chumba cha chini TZS 80,000/= ila utajinoma breakfast na kahawa ya chumbani,kafriji ukiwa na vinywaji vyakoJiongeze kdgo ukalale Flomi. Hutojutia nafsi yako mkuu
Ipo Msamvu upande wa kushoto karibu na stand kama unaenda Dodoma ni Hoteli kama ghorofa 5 kama sijakosea ni karibu na kilipokuwa chuo cha Tanesco siku hizi Chuo Kikuu cha KiislamuHii iko maenel gani mkuu?
Mazingira tulivu ni BZ-Hotel nanenane Tshs 35,000/=Habari
Friends naombeni msaada wa Lodge/hotel nzuri na iliyo kwenye mazingira tulivu na safi mkoani morogoro.Bei kati ya elfu 25 mpaka elfu 40 (25,000/= mpaka 40,000/=)
Kama vipi njoo guest za kitaa Buku tano tu