Habari wadau nahitajika kuwepo dar kwa usiku mmoja na mimi ni mgeni jijini je nawaleza pata lodge maeneo karibu kabisa na mahakama ya ardhi Mwananyamala kwa budget ya shs 20000 kwa usiku mmoja msaada please.

Usitumie gharama kwa lodge.
Download app ya utalii inaitwa couch surfing.
Utapata sehemu ya kuishi kwa mtu bila malipo.
(Hii app husaidia watalii wa bajeti ndogo)
Upo sahihi kabisa, kuna jamaa aliibiwa laptop, camera na simu, kisa budget, wezi alilala nao humohumo nadhani kosa lake ilikuwa kujionyeshaonyesha akitumia lapto