'Lockdown' yapendekezwa nchini

Mkisikia Lockdown akili zinakimbilia watu kufungiwa ndani tu basi!
Lockdown ipo ya aina mbalimbali.
Kuna ile ya kuzuia mikusanyiko mikubwa,
Kudhibiti uwingi wa watu ndani ya nyumba moja au chumba kimoja,
Idadi ya watu kwenye vyombo vya usafiri,
Siyo kila locdown ni kufungiwa ndani.
Na hizo hatua zinatokana na kiwango cha hatari iliyopo.
Biden ameruhusu mtu aliyechanjwa kutokubeba barakoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…