WILLY GAMBA
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 211
- 87
Nimekuwa nikitafakari jinsi mikopo hii ya riba kubwa ilivyo shamiri katika jamii.
watu wengi wamejikuta wanaingia katika mtego huu ambao kutoka sio rahisi.
Licha ya kwamba mikopo hiyo halipiki sababu ya ujanja wa wakopeshaji (kuzima simu n.k) pia huikosesha serikali mapato in form of taxes, lakini pia ni hatari sana kwa kuwa pesa nyingi za hao watoa mikopo vyanzo vyake ni haramu.
Kuna taarifa kuwa hao watoaji katika kukudai riba zao wamefikia hatua ya "kushirikiana" na wanausalama wetu kusaidia kutoa vitisho kwa victims.
Serikali sijui kwa kuto kufahamu impact ya kushindwa ku control tabaka hili la watu ambao hawajui kabisa taasisi rasmi za mikopo wamechangia sana kuvuruga familia na kushindwa kwa serikali kuchukua hatua ya kuwa protect raia wake kwa ku implement na ku educate them inkuwa kama ina support crime in the long arm length.
Hao ma banker wa uchochoroni ni wabaya sana kuliko hata ule mfumo wa Jamatini.
Tujiulize pesa za madawa ya kulevya haziwekwi bank, sasa zinafanya nini mtaani?
Nimeandika kwa haraka na kwa uchungu lakini point kubwa ni kuwa HILI NI JIPU, tuwaokoe wenzetu walionasa kwenye miiba hii.
Mugabe Azishambulia Benki za Zimbabwe Kwa Kuwaibia Wananchi kwa Interest (riba) Kubwa ya Mikopo