Loan officers 100 wanahitajika hasa microfinance

Kwa wale wanaohitaji kazi ASA

Mnaweza andaa CV mkapeleka pale head office kwenye box lao

Fika pale onana na mlinzi mueleze kuwa nmekuja kuleta CV atakuhudumia

Zikitangazwa nafasi za kazi asilimia kubwa wanaitwa wale walopeleka CV pale ,na asilimia kadhaa kwa walio fanya application

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
You're kidding, right??? Mlinziii mlinziii mlinziii ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom