Hahahahahahahahahahaha. Madogo mnanifurahisha sana, presha kama hizo nlikuwa nazo sana mwaka jana, msijali yatatoka tu, ila mimi nawahakikishia wote waliosoma shule za serikali olevel na alevel wote mnapata bila waiwasi bila kujali priority or non-priority