Loan board wameachia Majina.

Loan board wameachia Majina.

Status
Not open for further replies.
kweli mkuu ukiingia OLAMS kuna applicants loan status ila web yao bado haijakaa vizuri
 
Haya Ni Majanga tu Sijui lini Hao IT wa Rwanda Watakuja Kuondosha Huu Ujinga uliopo..
 
nmeona majina, wegi ni kifooo, empty loan
 
Hakuna jina ht moja lililowekwa acheni kupptosha watu ht mtandao haufunguki
 
Lazma Mauze shamba chuo bila bum na Ada n hellllllll.tufta mtu akpe akiliwa ya kuingia bla bum cz upo pbya ucpojpng
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom