Bratherkaka Senior Member Joined Apr 30, 2012 Posts 101 Reaction score 10 Dec 16, 2015 #1 Daah! Baada ya kupelaka birth certificate na matokeo ambayo tulikuwa tuma miss..hadi Leo tuko depending au ndo tumekosa..wakati kweny vya habari wanasema watu wote tumepata...???
Daah! Baada ya kupelaka birth certificate na matokeo ambayo tulikuwa tuma miss..hadi Leo tuko depending au ndo tumekosa..wakati kweny vya habari wanasema watu wote tumepata...???
A Atwoki JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 740 Reaction score 426 Dec 16, 2015 #2 Aloo kumbe tupo wengi tunao wasubiri hawa jamaa
man ov action Member Joined Nov 13, 2015 Posts 58 Reaction score 7 Dec 16, 2015 #3 khaaa yan awa jamaa atar sana,! wamenfanya niugue vidonda vya tumbo aisee
Bratherkaka Senior Member Joined Apr 30, 2012 Posts 101 Reaction score 10 Dec 16, 2015 Thread starter #4 Kilo zimapungua hata cjui
A Atwoki JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 740 Reaction score 426 Dec 16, 2015 #5 Mara ya mwisho nilipopima uzito nilikuwa na kilo zangu 56kg Jana nimeenda hospitali kupima nimekuta Nina kilo 50kg yaan hapa nilipo daah!!!
Mara ya mwisho nilipopima uzito nilikuwa na kilo zangu 56kg Jana nimeenda hospitali kupima nimekuta Nina kilo 50kg yaan hapa nilipo daah!!!
Bratherkaka Senior Member Joined Apr 30, 2012 Posts 101 Reaction score 10 Dec 16, 2015 Thread starter #6 Atwoki said: Mara ya mwisho nilipopima uzito nilikuwa na kilo zangu 56kg Jana nimeenda hospitali kupima nimekuta Nina kilo 50kg yaan hapa nilipo daah!!! Click to expand... Hivi watato kweli au ndo tumesha katwa
Atwoki said: Mara ya mwisho nilipopima uzito nilikuwa na kilo zangu 56kg Jana nimeenda hospitali kupima nimekuta Nina kilo 50kg yaan hapa nilipo daah!!! Click to expand... Hivi watato kweli au ndo tumesha katwa