Loan Board ichunguzwe upya

kayandam

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
52
Reaction score
19
Ndugu zanguni kitendo kinachofanywa na bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kinaonyesha dhahiri kuwa bodi ile inaendeshwa kimagumashi.

Sasa hivi ili kuhakikisha wanakusanya madeni yote sugu wameanza kuwakata pesa hata watu ambao hawajawahi kukopa mikopo ya elimu ya juu na pengine hata hiyo elimu ya juu hakufika swali la kujiuliza wametoa wapi hayo majina hapo ndipo nakumbuka kuwa ile mikopo hewa imetafutiwa wabebaji kinyemela.
 
Ndugu zanguni,

Kitendo kinachofanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu kinaonyesha dhahiri kuwa Bodi ile inaendeshwa kimagumashi. Sasahivi ili kuhakikisha wanakusanya madeni yote sugu wameanza kuwakata pesa hata watu ambao hawajawahi kukopa mikopo ya elimu ya juu na pengine hata hiyo elimu ya juu hakufika.

Swali la kujiuliza wametoa wapi hayo majina hapo ndipo nakumbuka kuwa ile mikopo hewa imetafutiwa wabebaji kinyemela.

Kayanda Henry

0658578715
 
Hao ndio mbwa sitakagi hata kuwasikia, mateso walionipa sitakaa niyasahau…
 
hao jamaa wanaboa balaa...hata ukichukua financial statement ya deni lako mabambiko ni mengi.
 
Kuanzia Julai 2016, hii bodi ineanza kukata pesa watu wengi ambao ama walishamaliza deni au hawakuwahi kukopa kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…