Loan Allocations for SUA First Year Students in Academic year 2016/2017

naona hayo niya f6 pekee, au kuna diploma ameona jina lake..?
 
Yaani mtu anapewa meal and accommodation 45000 kwa mwaka?. Sasa sibora angekosa tu hiyo 45000, ingawanye kwa semister 2.Kila semister wampe 22500 kweli hii ni serikali ya wanyonge.

Tulichagua kazi za viwandani tukaacha elimu hatuna wakumlilia.
 
ndo boom hlo kwa mwaka,na waliopata 100% ni wawili tu first batch
jesus christ yelew madesa kwa her inamaana nina mkopo alafu ndo 45000 du huluma sana bola wasingewapa mana hilo ni balaaaa
 
jesus christ yelew madesa kwa her inamaana nina mkopo alafu ndo 45000 du huluma sana bola wasingewapa mana hilo ni balaaaa
ni balaaa mkuu yani 3500 kwa mwezi
 
na bdo una tamba una mkopo alisema mtanikumbuka na kwel yametimia....................... kuingia chuo ni kama bahat mkopo ela ya pipi
ngoja tusubiri tujue hatma
 
ngoja tusubiri tujue hatma
wizara ya elimu ivunjwe tu maana haya madudu sasa ni tishio hao wakina taifa jipya panya road watapunguaj tuna tumaini vita kuja vikundi vingine hatalishi zaidi hivi hii imekaaje kwa hawa wadogo zetu wenye EEE mana ata diploma hawafai
 
Mhhhh!!!!!!!!!! kimwendokasi zaidi ,,,,huu ubahili umezidi, eti boom 45,150/= masikini
 
Daaah boom 45,000 kwa mwaka kweli??? Sio haki hata kidogo[emoji46][emoji46]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…