Lnk. Files! Zikizingua fanya hivi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lnk. Files! Zikizingua fanya hivi!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mtanganyika tz, Jan 5, 2012.

 1. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu nadhani miongoni wetu wapo waliowahi kukutana na tatizo hili la lnk files!
  kuna mtu jana kaniletea laptop yake ambayo icons zoze kwenye desktop zinadeploy notepad! yan namaanisha ukifundua default program inayotumika ni notepad!

  lnk files ni kitugani?
  net wanasema ni file extension zinazotumika kwenye windows os! normally shortcut za kwenye desktop!

  sababu!
  kulingana na jamaa inaonekana alikuwa anataka kufungua software kwenye startup menue! alirigth click alafu aka open with
  notepad!

  kasheshe!
  kasheshe ni kwamba baada ya hapo hakuna software yoyote inayoopen normally! ukidouble click unaambiwa open with! yanayofuata ni balaa!

  nilichofanya.
  baada ya kusaka ufumbuzi net, soln nilizopata zilikua ngumu na nyingi zilifail! nilitumia software zaidi ya tatu lakini zote ziligonga mwamba!

  michakato ikakubali!!!!

  yani soln niliyojaribu! ni ya michakato lakini! nilifanya hivi.
  niliopen with vlc player, alafu nika uninstal vlc. amini usiamini icons zilirudi kama kawaida!
  nimemrudishia jamaa haamini!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safi sana tunapenda watu wanaotumia ubongo kufikiri,vp kwanin usijiunge na magamba uende kuokoa jahazi? Maana wengi wao kule wanatumia masaburi kufikiri
   
Loading...