Llb miaka 3 na ile ya minne. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Llb miaka 3 na ile ya minne.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Bendera ya bati, Apr 30, 2011.

 1. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ilivyokawaida kwa baadhi ya vyuo hapa tz juu ya utoaji wa shahada za sheria kwa miaka 3,Hii ni tofauti kidogo na vyuo vingine vingi vinavyotoa shahada kama hiyo kwa miaka minne.So ningependa nijuzwe juu ya utofauti huu.
   
 2. x

  xman Senior Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza mimi ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa 4 st.augustine university, tofauti ya kwanini ya miaka inatokana na extra subjects and units of the subjects kwa chuo husika, si maanishi core subjects in law
   
Loading...