....aaaaahhh bana, hebu jichunguze kilichokupelekea ndoto hiyo,
lazima kuna issue uliizungumzia siku hiyo kuhusiana na mambo ya
ujenzi na kusalitiwa,....
BTW, #Lucy hajambo?...aisee, eti "Kaka Mentor!"
Heaven on Earth...kwanza salamu from 'ur man' anauliza sikukuu yote hata sms!??? #mjumbeHauawiI like your stories..huwa hazinichoshi kusoma............
naona ulikuwa na mahasira na Dr Chrispine Lol......we wajua jirani halafu
mafundi wanakwambia ni mtu na mmewe,bora iishie tu ndotoni kwa kweli........
naona ushauri wa Moderator kivuli umefanya kazi.......
I can see some changes LOL..
Mentor I dnt know what happende mpaka nikamsahau "My man" asante kwa taarifa lakinMkuu Mbu shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh #kimyakimya .
Kuhusu hilo la ndoto ngoja nitafakari nitakuja na mrejesho baadaye!
Heaven on Earth...kwanza salamu from 'ur man' anauliza sikukuu yote hata sms!??? #mjumbeHauawi
Lol..Dr. Chrispine anahitaji kuadhibiwa anachukua vibinti vichanga hadi wake za watu....hadi ndotoni!!!!!!!!!!!!!!!
What is this about mke wetu?
....wafanya mchezo nini, sitaki nimuote yule Moderator "kivuli" ananifundisha #Twisheni mie!
Mentor
naomba leo ulale tena uimalizie hii ndoto halafu uje na majibu ya masuali yangu yafuatayo:
baada ya tukio hilo mtazamo wako juu ya wanawake ulikuaje?
unahisi ni nini kilichangia mkeo kukusaliti ilihali inaonekana kama mlikua na maisha mazuri yenye upendo tu?
.....usihame unapoishi,sehemu nyingine majirani hawaamshani kabisa...
Mentor I dnt know what happende mpaka nikamsahau "My man" asante kwa taarifa lakin
Mbu anajua ninachokimaanisha hapo..we usitake kujua zaid
duh! baba brighton!
Niliondoka na wazo moja tu ni mwisho wa ndoa yangu na Fatma mke wangu. Niliwaonesha ushahidi wa kutosha kuwa mke wangu huyu alikuwa akitoka na jirani yetu Dr. Chrispin.
10[SUP]th[/SUP] December 2013, Jumanne
"Kaka Mentor! Leo huendi kazini?" Ilikuwa ni sauti ya jirani yangu Lucy akinigongea mlango. Nilishituka usingizini na kuangalia saa yangu. Ilikuwa ni saa moja kasoro kumi asubuhi. Kumbe nilipitiliza usingizini asubuhi ile alarm ilipoita 4:29am na harufu ile ilikuwa ya mama wa jirani ambaye huamka asubuhi na kupika maandazi kwa ajili ya kuuza kwa wateja watakaopita hapo asubuhi kuelekea makazini.
Fatma? Mama Brighton? Nilishusha pumzi ya faraja baada ya kugundua kuwa licha ya kutokuwa na mtoto kumbe Mentor hata bado sijaoa…ilikuwa ni ndoto tu. Nilifunga macho na kumshukuru Mungu kuwa ni ndoto tu ila nikaomba hayo yasinitokee.
Ni saa tatu sasa nimefika kazini, naomba niendelee na majukumu ya kulijenga taifa. Ndoto nyingine mbaya jamani.
Wasalaam wapendwa,
Mentor.
Mentor asante kwa utunzi mwanana. Ila umeniacha hoi ulipomsifu mke wako wa ndotoni ambaye pamoja na sifa nyingine ana 'umbo zuri lenye kung'aa'. Sikupata picha ya umbo linalong'aa, lakini kwakuwa ni ndoto nilijilazimisha kukubali. Vinginevyo, hongera na keep it up!
namjua vizuri, msamehe lakini kwa aliyokutendea. vipi kesho tutarajie ndoto gani?
All I can read between the lines here ni kwamba Mentor eshaumwa na nyoka 'ndotoni'
Sasa ole wake ajipendekeze mrembo aitwaye Fatma 'Fetty' katika maisha yake,
au Jirani aitwaye Dr. Crispin, au mama watoto alazimishe mtoto aitwe Brighton...
#PatachimbikaAisee !
Mentor asante kwa utunzi mwanana. Ila umeniacha hoi ulipomsifu mke wako wa ndotoni ambaye pamoja na sifa nyingine ana 'umbo zuri lenye kung'aa'. Sikupata picha ya umbo linalong'aa, lakini kwakuwa ni ndoto nilijilazimisha kukubali. Vinginevyo, hongera na keep it up!
Mentor yaelekea unapenda sana mashombe shombe mara kadhaa umekua ukitumia character wa aina hii. hata hivyo mshukuru Mungu haikua kweli ungepata mshtuko mkubwa. Ni ndoto nzuri kwani haya yanatokea kwenye jamii kila leo.
.....umeona ee? ....yaani alipoamka na kumnyatia Fetty jikoni alimkuta mashaallah...
Mentor, ashakum si matusi...kama sio Dr.Crispin kukutoa Mood
leo ungefua mashuka Meku!
Yaani we jamaa ukitoa "a" ya mwisho kwenye jina lako utalikataa kabisa
dogo umetumwa...? mbona unanikosea heshima? niombe radhi....!Yaani we jamaa ukitoa "a" ya mwisho kwenye jina lako utalikataa kabisa
dogo umetumwa...? mbona unanikosea heshima? niombe radhi....!