Kazi kweli kweli. Hayo si mashtaka. Naamini watakuja na mashtaka mapya ya msingi ambayo dhamana yake itakuwa reasonable na atatimiza masharti na kutoka siku hiyo hiyo or a day after. Ni haki yake awe nje kwa dhamana, hivyo apewe dhamana ambayo ni attainalbe. Kila mtu ni mkosaji kwa namna moja au nyingine, kinachotafatiana ni uzito na aina ya kosa. Dhamana kama iko wazi ni haki ya mtuhumiwa ili aweze kuwa nje na kuweza kuandaa defense yake. Pole Amatus Liyumba, hiyo ni sehemu ya maisha ila tu hata kama pesa ililiwa, hukula peke yako, it was a chain of beneficiaries (very high level!!!).