chuchumeta3
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 237
- 87
Assume huijui hyo stor, alaf anza kuisoma mwanzo had mwisho then uje utuhadithie umeelewa nn coz naona vurugu za mpangilio wa visa tu humo ndan though it seems the news would b very interesting if it could hv been witty in a nice mannerImetokea vurugu kubwa kijiji cha kiangara wilaya ya liwale, hii imetokea baada ya magari ya wafanyabiashara wa mnada kutekwa na kuporwa fedha. Wafanyabiashara biashara walikuwa wanatokea kijiji cha milui kuendelea na mnada kesho kiangara walipofika litou wakakutana na uporaji, wananchi walikuwa hasira kwa kudai kuwa kwani ni Polisi walipofika eneo la kiangara hawakwenda litou eneo la tukio. Inadaiwa wafanyabiashara hao wakaichoma moto. Pia pikipiki ya mtumishi wa serikali ambayo iliwakuta eneo la tukio.
Mbona ameeleweka sana jamani sema wewe hizo sehemu ni za kichina kwakoHebu kaa chini kwanza, kunywa maji ........ haya sasa anza upya
Hivi litoe ni pale kwenye mianzi mingi na culverts?Imetokea vurugu kubwa kijiji cha Kiangara wilaya ya Liwale, hii imetokea baada ya magari ya wafanyabiashara wa mnada kutekwa na kuporwa fedha.
Wafanyabiashara biashara walikuwa wanatokea kijiji cha Milui kuendelea na mnada kesho Kiangara walipofika Litou wakakutana na uporaji, wananchi walikuwa hasira kwa kudai kuwa kwani ni Polisi walipofika eneo la Kiangara hawakwenda Litou eneo la tukio.
Inadaiwa wafanyabiashara hao wakaichoma moto. Pia pikipiki ya mtumishi wa serikali ambayo iliwakuta eneo la tukio.
Poleni sana wana liwale na kiangara kwa ujumlaImetokea vurugu kubwa kijiji cha Kiangara wilaya ya Liwale, hii imetokea baada ya magari ya wafanyabiashara wa mnada kutekwa na kuporwa fedha.
Wafanyabiashara biashara walikuwa wanatokea kijiji cha Milui kuendelea na mnada kesho Kiangara walipofika Litou wakakutana na uporaji, wananchi walikuwa hasira kwa kudai kuwa kwani ni Polisi walipofika eneo la Kiangara hawakwenda Litou eneo la tukio.
Inadaiwa wafanyabiashara hao wakaichoma moto. Pia pikipiki ya mtumishi wa serikali ambayo iliwakuta eneo la tukio.
Nini kisichoeleweka hapo? Au majina ya vijiji ndio yamekuchanganya?Assume huijui hyo stor, alaf anza kuisoma mwanzo had mwisho then uje utuhadithie umeelewa nn coz naona vurugu za mpangilio wa visa tu humo ndan though it seems the news would b very interesting if it could hv been witty in a nice manner
Imetokea vurugu kubwa kijiji cha Kiangara wilaya ya Liwale, hii imetokea baada ya magari ya wafanyabiashara wa mnada kutekwa na kuporwa fedha.
Wafanyabiashara walikuwa wanatokea kijiji cha Milui kuendelea na mnada kesho Kiangara walipofika Litou wakakutana na uporaji, wananchi walikuwa hasira kwa kudai kuwa kwani ni Polisi walipofika eneo la Kiangara hawakwenda Litou eneo la tukio.
Inadaiwa wafanyabiashara hao wakaichoma moto. Pia pikipiki ya mtumishi wa serikali ambayo iliwakuta eneo la tukio.
Mimi nmemuelewa.Kweli umefaulu namna ya kuwasilisha habari hovyo kabisa.