chuchumeta3
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 237
- 87
Imetokea vurugu kubwa kijiji cha Kiangara wilaya ya Liwale, hii imetokea baada ya magari ya wafanyabiashara wa mnada kutekwa na kuporwa fedha.
Wafanyabiashara walikuwa wanatokea kijiji cha Milui kuendelea na mnada kesho Kiangara walipofika Litou wakakutana na uporaji, wananchi walikuwa hasira kwa kudai kuwa kwani ni Polisi walipofika eneo la Kiangara hawakwenda Litou eneo la tukio.
Inadaiwa wafanyabiashara hao wakaichoma moto. Pia pikipiki ya mtumishi wa serikali ambayo iliwakuta eneo la tukio.
Gari la Polisi lachomwa moto usiku Wilayani Liwale – LIndi
Taarifa kutoka kwa kamanda wa polisi Lindi zinasema Vijana wenye hasira waliwarushia mawe polisi na hatimaye kuchoma moto gari.