Liwale: Gari, Pikipiki vya Polisi vyachomwa moto

chuchumeta3

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
237
87
Imetokea vurugu kubwa kijiji cha Kiangara wilaya ya Liwale, hii imetokea baada ya magari ya wafanyabiashara wa mnada kutekwa na kuporwa fedha.

Wafanyabiashara walikuwa wanatokea kijiji cha Milui kuendelea na mnada kesho Kiangara walipofika Litou wakakutana na uporaji, wananchi walikuwa hasira kwa kudai kuwa kwani ni Polisi walipofika eneo la Kiangara hawakwenda Litou eneo la tukio.

Inadaiwa wafanyabiashara hao wakaichoma moto. Pia pikipiki ya mtumishi wa serikali ambayo iliwakuta eneo la tukio.

Gari la Polisi lachomwa moto usiku Wilayani Liwale – LIndi

Taarifa kutoka kwa kamanda wa polisi Lindi zinasema Vijana wenye hasira waliwarushia mawe polisi na hatimaye kuchoma moto gari.
 
Sheria zifuatwe na kuheshimiwa tukizivunja sisi kama raia basi na viongozi watakapozivunja tusilalamike vinginevyo tutakuwa wanafiki, ni jana tu nimesikia kuna tamko limetolewa kuwa wanaovamia vituo vya polisi "walazwe chini" yani kuuliwa sasa likitekelezwa sijui itakuwaje:rolleyes:
 
Imetokea vurugu kubwa kijiji cha kiangara wilaya ya liwale, hii imetokea baada ya magari ya wafanyabiashara wa mnada kutekwa na kuporwa fedha. Wafanyabiashara biashara walikuwa wanatokea kijiji cha milui kuendelea na mnada kesho kiangara walipofika litou wakakutana na uporaji, wananchi walikuwa hasira kwa kudai kuwa kwani ni Polisi walipofika eneo la kiangara hawakwenda litou eneo la tukio. Inadaiwa wafanyabiashara hao wakaichoma moto. Pia pikipiki ya mtumishi wa serikali ambayo iliwakuta eneo la tukio.
Assume huijui hyo stor, alaf anza kuisoma mwanzo had mwisho then uje utuhadithie umeelewa nn coz naona vurugu za mpangilio wa visa tu humo ndan though it seems the news would b very interesting if it could hv been witty in a nice manner
 
Imetokea vurugu kubwa kijiji cha Kiangara wilaya ya Liwale, hii imetokea baada ya magari ya wafanyabiashara wa mnada kutekwa na kuporwa fedha.

Wafanyabiashara biashara walikuwa wanatokea kijiji cha Milui kuendelea na mnada kesho Kiangara walipofika Litou wakakutana na uporaji, wananchi walikuwa hasira kwa kudai kuwa kwani ni Polisi walipofika eneo la Kiangara hawakwenda Litou eneo la tukio.

Inadaiwa wafanyabiashara hao wakaichoma moto. Pia pikipiki ya mtumishi wa serikali ambayo iliwakuta eneo la tukio.
Hivi litoe ni pale kwenye mianzi mingi na culverts?
 
Imetokea vurugu kubwa kijiji cha Kiangara wilaya ya Liwale, hii imetokea baada ya magari ya wafanyabiashara wa mnada kutekwa na kuporwa fedha.

Wafanyabiashara biashara walikuwa wanatokea kijiji cha Milui kuendelea na mnada kesho Kiangara walipofika Litou wakakutana na uporaji, wananchi walikuwa hasira kwa kudai kuwa kwani ni Polisi walipofika eneo la Kiangara hawakwenda Litou eneo la tukio.

Inadaiwa wafanyabiashara hao wakaichoma moto. Pia pikipiki ya mtumishi wa serikali ambayo iliwakuta eneo la tukio.
Poleni sana wana liwale na kiangara kwa ujumla
 
Assume huijui hyo stor, alaf anza kuisoma mwanzo had mwisho then uje utuhadithie umeelewa nn coz naona vurugu za mpangilio wa visa tu humo ndan though it seems the news would b very interesting if it could hv been witty in a nice manner
Nini kisichoeleweka hapo? Au majina ya vijiji ndio yamekuchanganya?
 
Imetokea vurugu kubwa kijiji cha Kiangara wilaya ya Liwale, hii imetokea baada ya magari ya wafanyabiashara wa mnada kutekwa na kuporwa fedha.

Wafanyabiashara walikuwa wanatokea kijiji cha Milui kuendelea na mnada kesho Kiangara walipofika Litou wakakutana na uporaji, wananchi walikuwa hasira kwa kudai kuwa kwani ni Polisi walipofika eneo la Kiangara hawakwenda Litou eneo la tukio.

Inadaiwa wafanyabiashara hao wakaichoma moto. Pia pikipiki ya mtumishi wa serikali ambayo iliwakuta eneo la tukio.

Hueleweki. Edit mada yako ieleweke tuchangie. Utakuw aumetulia sasa, kuhema kumepungua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom