Mbunge wa mtera (CCM) Lusinde amewaponda wabunge wa CUF kwa kuzungumzia mambo ya Zanzibar pekee bila kujua wao ni wabunge wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.amesema wabunge wa Cuf wameingizwa mkenge na Cdm,na hivyo ndoa ya watu wawili ikishaingiliwa na mtu wa tatu lazima ivunjwe.kifupi dk zake alizopewa kuchangia kazungumza mbovu mbovu hadi mwisho.
ila CUF nao wanapenda kuolewa sana acha wapashwe
ila CUF nao wanapenda kuolewa sana acha wapashwe
Lusinde noma!! sasa hiyo ndoa nani mke?
Lusinde noma!! sasa hiyo ndoa nani mke?
Afadhali ya Lusinde kuliko mbowe na lema ambao hupayuka bila mpango wowote.
Huyu si ndio alimwangisha Malecela kwenye Ubunge Mtera? Sasa kama CCM walimwona ni bora jee huyu waliyemuacha atakuwa mzigo kiasi gani?
Muungano wa KINAFIKISpika Annie Makinda akemee ubaguzi unaoota mizizi bungeni. Wabunge wa CCM toka Zanzibar wanawabagua waziwazi watu wa Tanganyika, na inashangaza sana sana kuona wabunge wanashangalia huku Spika akicheka.
Kauli kwamba wabunge wa Tanganyika ndani ya Bunge la Muungano hawana haki ya kuongelea mambo yanayohusu Zanzibar ni muendelezo wa ubaguzi wanafanyiwa watu wa Tanganyika.
Tunajua watu wa Tanganyika hawaruhusiwi hata kumiliki ardhi Zanzibar, biashara zao zinachomwa moto, na sasa wabunge wa Zanzibar wanawaziba midomo wabunge wa Tanganyika.
Huu ubaguzi ukomeshwe haraka.