Liverpool yaiadhibu manchester united

tc_edo

Senior Member
Apr 9, 2021
123
98
Liverpool yapata ushindi wa bao nne kwa mbili (4-2) dhidi ya Manchester United apo Old Trafford Manchester. United walitangulia kupata goli mapema tu kutoka kwa kiungo mshambuliaji Bruno Fernández (dk 10). Diogo Jota nae hakua mbali kuisawazishia Liverpool (dk 30) huku Robert Firmino akitia kichwa kikali dakika za majeruhi kipindi cha kwanza (dk 45+1) kuifanya Liverpool kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa bao 2. Kipindi cha pili mapema tu (dk 47) Roberto firmino Berbosa de oliviera alipachika goli la tatu kwa Liverpool. Marcus Rashford alifufua matumaini ya Manchester United (dk 68) kurudi mchezoni ila Mohamed Salah alimaliza hayo matumaini kwa kupigilia msumali wa nne (dk 90) na kumfikia Hary Kane kwa wachezaji wanaongoza kwa magoli (21) mpka sasa kwenye England 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Premier League.

1. Ni ushindi wa kwanza kwa Liverpool kwenye EPL hapo Old Trafford Manchester toka mwaka March 2014.

2. Ndio mara ya kwanza Kocha Jurgen Klopp anaifunga Manchester United akiwa ugenini.

3. Ni mara ya kwanza Manchester United wanapoteza mechi mbili mfululilizo ndani ya siku 3 wakiwa nyumbani toka mwaka 1958, April.

4. Ushindi huu unaipa matumaini makubwa Liverpool kuweza kupata nafasi ya kufuzu kucheza michuano ya Club bingwa ulaya.
Screenshot_20210514_020601.jpg
 
Liverpool yapata ushindi wa bao nne kwa mbili (4-2) dhidi ya Manchester United apo Old Trafford Manchester. United walitangulia kupata goli mapema tu kutoka kwa kiungo mshambuliaji Bruno Fernández (dk 10). Diogo Jota nae hakua mbali kuisawazishia Liverpool (dk 30) huku Robert Firmino akitia kichwa kikali dakika za majeruhi kipindi cha kwanza (dk 45+1) kuifanya Liverpool kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa bao 2. Kipindi cha pili mapema tu (dk 47) Roberto firmino Berbosa de oliviera alipachika goli la tatu kwa Liverpool. Marcus Rashford alifufua matumaini ya Manchester United (dk 68) kurudi mchezoni ila Mohamed Salah alimaliza hayo matumaini kwa kupigilia msumali wa nne (dk 90) na kumfikia Hary Kane kwa wachezaji wanaongoza kwa magoli (21) mpka sasa kwenye England 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Premier League.

1. Ni ushindi wa kwanza kwa Liverpool kwenye EPL hapo Old Trafford Manchester toka mwaka March 2014.

2. Ndio mara ya kwanza Kocha Jurgen Klopp anaifunga Manchester United akiwa ugenini.

3. Ni mara ya kwanza Manchester United wanapoteza mechi mbili mfululilizo ndani ya siku 3 wakiwa nyumbani toka mwaka 1958, April.

4. Ushindi huu unaipa matumaini makubwa Liverpool kuweza kupata nafasi ya kufuzu kucheza michuano ya Club bingwa ulaya. View attachment 1783876
Man U fukuza hii Ole Nguna Soseji. Anafanya timu inacheza ki ihefu ihefu fc
 
Back
Top Bottom