Liverpool V Real Madrid from Anfield - Liverpool, England.

Liverpool V Real Madrid from Anfield - Liverpool, England.

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
24,272
Reaction score
43,172
Hello and welcome to LIVE coverage of the huge
Champions League clash between Liverpool and Real
Madrid. These are the European nights they’ve been
missing at Anfield, but can the hosts get a result?
 
Liverpool (4-3-3): Mignolet; Johnson, Lovren, Skrtel,
Moreno; Gerrard, Allen, Henderson; Sterling, Balotelli,
Coutinho.
 
Real Madrid (4-4-2): Casillas; Arbeloa, Pepe, Varane,
Marcelo; Rodriguez, Modric, Kroos, Isco; Benzema,
Ronaldo.
 
Mkuu wewe upo uwanjani ama unanukuu kutoka kwa moja wapo ya vyanzo vya Habari hii?
 
Real Madrid subs: Navas, Khedira, Hernandez,
Carvajal, Nacho, Illarramendi, Medran.
 
Liverpool subs: Jones, Toure, Lambert, Manquillo,
Lallana, Can, Markovic.
 
Bado dakika 10 mpira uanze.
 
Madrid haitakuwa na Gareth Bale kutokana na Majeruhi alokuwa nayo.
 
Endapo Ronaldo atafunga goli mbili leo ktk UEFA atafikia Record ya Raul ambayo alifunga jumla ya magoli 71 ktk UEFA. Ronaldo na Messi wote wana 69 magoli ya UEFA.
 
Liverpool hawana nidhamu ya mpira, wanajimwaga kama dagaa wa kukauka vile
 
Back
Top Bottom