silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,618
- 2,373
Acha kuongea ki statistics wakati Arsenal ndo bingwavmwaka huu. Hiyo ni history tu. mambo uwanjani
Wadau iwapo Liverpool watafungwa leo, basi itakuwa ni klabu ya kwanza katika historia ya EPL kuwa nje ya top 4 kabla ya new year, wakati krismas ilikua top of the table. Ikumbukwe pia klabu ambayo inaoongoza ligi wakati wa krismasi basi hua ndio bingwa, na klabu pekee ambayo ilikuwa top of the table halafu ikashindwa kuchukua kombe ilikua ni Liverpool mwaka 2009
hebu isomeni tena hiyo thread naona hamjaelewa kitu,
Hakika maneno yako!Wadau iwapo Liverpool watafungwa leo, basi itakuwa ni klabu ya kwanza katika historia ya EPL kuwa nje ya top 4 kabla ya new year, wakati krismas ilikua top of the table. Ikumbukwe pia klabu ambayo inaoongoza ligi wakati wa krismasi basi hua ndio bingwa, na klabu pekee ambayo ilikuwa top of the table halafu ikashindwa kuchukua kombe ilikua ni Liverpool mwaka 2009
Sidhani kama unajua unachokiongeaHistoria sithani kama inamaana kwenye mpira