Live: Yanayojiri Miaka 53 ya Muungano, Kutoka Ukumbi wa Nkhuruma Hall

Bashiru yuko vuzuri sana

Anachaaaana ile mbaya.

Anaweza kukamatwa nje ya ukumbi.

Amewachana watawala kwa kutudanganya kwamba tumefungua tena ubalozi wa Israel kwa sababu ya watalii.

Amesema watawala semeni ukweli kama mnadhani Uzayuni wa Israel sio tishio tena, hali imebadilika, wekeni mezani tujadili!
 
Anaongea sasa ni Bi Hawa Shamte,
Anatoa Historia kidogo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
 
Shamte anasema inawezekana sana Nyerere aliunganisha hizi nchi mbili kwa matakwa yake mwenyewe...

Kwa sababu alisoma Uingereza...
 
Karume alitaka Muungano kujilinda na mapinduzi madogo madogo
 
Anachaaaana ile mbaya.

Anaweza kukamatwa nje ya ukumbi.

Amewachana watawala kwa kutudanganya kwamba tumefungua tena ubalozi wa Israel kwa sababu ya watalii.

Amesema watawala semeni ukweli kama mnadhani Uzayuni wa Israel sio tishio tena, hali imebadilika, wekeni mezani tujadili!

Si aweke yeye mezani, y kusubiria anao washutumu!?
 
Katiba ya Tanganyika ndiyo iliyotumika kwenye mambo ya Muungano
 
Muungano unapokuwa ni kati ya Nchi kubwa na ndogo kunakuwa na wasiwasi nchi ndogo kumezwa na nchi kubwa.
 
Profesa Mohammed Bakari anazungumza juu ya Muungano na Utaifa.
 
Si aweke yeye mezani, y kusubiria anao washutumu!?

Yeye angeiwekaje mezani, alijua kwamba wanaenda kufungua ubalozi na Israel?

Maamuzi yameshafanywa tayari. Dr. Bashiru anaongelea kabla ya kuamua kurudisha mahusiano na Israel. Ilijadiliwa na nani? Watawala wangeweka mezani, watoe sababu zao ijadiliwe, wakati ule.

Rais hawezi kujiamulia tu mwenyewe kufungua balozi ambazo tulizifunga, wanapaswa kutueleza zile sababu za kufunga zimekuaje?
 
Back
Top Bottom