OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,088
- 103,320
Kikosi cha Yanga
Mechi zinaendelea jioni ya leo
leo mkitoa droo mtakuwa wageni wa naniKila la heri timu ya Wananchi mabingwa wa Kihistoria
Kuna bingwa wa VPL na FA..Hakuna bingwa wa Kihistoria, hilo kombe la Kihistoria lilifanyika wapi nyie UTO?Kila la heri timu ya Wananchi mabingwa wa Kihistoria
Hawa dawa yao i kuifutilia mbali hiyo rekodi yao...Kuna bingwa wa VPL na FA..Hakuna bingwa wa Kihistoria, hilo kombe la Kihistoria lilifanyika wapi nyie UTO?
Hawa dawa yao i kuifutilia mbali hiyo rekodi yao...
Watakuwa wanasema TIMU YA WANANCHI BINGWA WA KIHISTORIA WA KWANZA...hawakosi neno
huko ni kulazimisha heshima ambayo hunaKuna bingwa wa VPL na FA..Hakuna bingwa wa Kihistoria, hilo kombe la Kihistoria lilifanyika wapi nyie UTO?
Nashangaa hata Mimi aseehii timu ya Yanga ina kocha kweli?mbona wanakosa magoli ya wazi
Yanga ni legelegeHivi hawa utopolo/ vyura wanafanya nini hapa uwanjani Mana sielewi wanakosa migoli hovyo kabisa.
pale kuna tatizo kubwa sana,nashangaa mzigo wa lawama wanapewa Moringa na Yikpe tu.Nashangaa hata Mimi asee
Daah yani wanasikitisha sana, wajitahidi tu wasifungwe tumechoka sasa kuona mtani anaibishwa hivi kila siku.!pale kuna tatizo kubwa sana,nashangaa mzigo wa lawama wanapewa Moringa na Yikpe tu.
wajitahidi wapate hata droo