Live Updates: VPL, Singida United Vs Simba SC Namfua Stadium

Live Updates: VPL, Singida United Vs Simba SC Namfua Stadium

Mpira uko balance kwa pande zote mbili uwanja wa Namfua Stadium ️ Singida United 0-1 Simba SC
 
85' Okwii anakwenda kwenye benchi na anaingia..Kichuya
 
90+4 kuelekea kumalizika mtanange huu wa VPL.. Uwanja wa Namfua Stadium
 
90+4' Naam mpira umekwishaaaaaaaaa uwanja wa Namfua Stadium ️. Simba wakitoka kifua mbele kwa goli moja kwa bila.

Singida United 0-1 Simba SC

Asanteni… Ghazwat
 
90+4' Naam mpira umekwishaaaaaaaaa uwanja wa Namfua Stadium ️. Simba wakitoka kifua mbele kwa goli moja kwa bila.

Singida United 0-1 Simba SC

Asanteni… Ghazwat
Wooooooooozeeeer
 
Back
Top Bottom