Viongozi wangu wote ngazi ya taifa na kote nchini; I AM MORE THAN PROUD OF YOU and the level of work you are doing.
I tell you, the deep-trenched drive for change in your souls, resilience, devotion, hands-on, guidance to the young and creation of NEW STRINGS AND LIGHT OF HOPE for a better tomorrow in our country as well as the deeper degree of descipline at work, organisational skiils pevu, jamani raha iliojeeeeeeee!!!!!!!!!!
Hakika nikikutazma wewe Mhe Heche pamoja na timu yako mahiri ngazi zote taifa, mikoa, wilaya; mijini na vijijini; na kwa ushirikiano wa karibu sana wa wabunge wetu,madiwani, na wenyeviti wa vijiji mbalimbali kote nchini wenzetu KWA HESHI ZOTE NAWAVULIENI KOFIA kwa utendaji kazi uliotukuka katika kumkomboa Mtanzania mlalahoi kote ndani ya nchi hii.
Japo hatuwasiki popote mkipiga kelele zozote za ovyo lakini vijana kimbunga cha kazi mnayoifanyia taifa hili ni shughuli ndefu haipimiki kwa akili za kawaida kamwe.