Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

Inakaribia saa moja tangu vituo vifungwe, mbona matokeo yanatoka kwa taratibu sana! Wasi wasi unaanza kutanda
 

....Live up data Kata ya Kaloleni ....Source Sunrise Radio


kaloleni vituo 12

Chadema CCM
51 25
68 19
67 20
57 25
69 21
60 15
41 21
50 22
54 30
54 15
b2 kituo nitawaletea

Vituo 12 Kaloleni
huku tumemaliza! Safi sana ahsante Mungu!
 
HAMY DADA uko wapi? mshakula za chembe tiyari.
cc; ritz,fyonza,mingoi na vine.mbe wenzenu wote wa magamba!!
 
Kwa haraka haraka Matokeo

Kata ya Elerai C one
CDM 42
CCM 11
CUF 0
Dokezo: Anguko la CCM ni la kishindo mno.

Chadema wana kura zaidi ya 70% na asilimia ndogo sana ya vituo bado.

Ushindi ni kote, kila kata, kila kituo. Namba kamili zinakuja soon - msiondoke tafadhali
 
Zoezi la kuhesabu kura linatakiwa limalizike mapema kwani shetani ana nguvu sana kunako giza hususan pale anapotambua kuwa ameelemewa kwa kila hali na waumini ndiyo wanaendelea kupiga maombi...

Kabisa mkuu ndio maana tunaita nguvu zake ni za giza!!
 
mungu atufanyie wepesi atuepushe na mabalaa ya kijani hatimaye tuuone utukufu wake. bless up!
 
Back
Top Bottom