Naona kuna mwanga kwa mbali.Vijana wanaweza kufanya kweli.Malinzi ni mpambanaji,stars ya majaribio imewaamsha wakongwe.Tukiitoa Zimbabwe tutacheza na mshindi kati ya Msumbiji na Sudan Kusini kisha kama tutashinda tutaingia kwenye kundi lenye timu za Zambia, Cape Verde na Niger....hapa washindi wawili wanaenda Morocco 2015 na mshindi wa tatu anaweza kupita kama atakuwa best looser
Azamu two Zimbabwe wanateseka.Tv gani inaonesha wengine tupo mbali na jiji
Naishabikia Zimbabwe from my heart
Kweli ng'ombe wa masikini hazai, vikwazo vyote hivi tutavikwepa kweli.......Tukiitoa Zimbabwe tutacheza na mshindi kati ya Msumbiji na Sudan Kusini kisha kama tutashinda tutaingia kwenye kundi lenye timu za Zambia, Cape Verde na Niger....hapa washindi wawili wanaenda Morocco 2015 na mshindi wa tatu anaweza kupita kama atakuwa best looser
Naishabikia Zimbabwe from my heart
Vipi kipindi cha pili vijana wanaonesha uhai?Azamu two Zimbabwe wanateseka.
hali c nzuri maombi muhimu. kazimoto amepata dhoruba yuko nje.Vipi kipindi cha pili vijana wanaonesha uhai?