Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 #1 Mechi inaanza ndani ya dakika 28 tu.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #2 Mpira utaanza ndani ya dakika 8 tu
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #3 Real Madrid kashinda 3-2 dhidi ya sporting Gijon
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #6 ManCity akishinda leo atamwacha Manutd kwa point saba
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #7 ManCity akishinda leo atamwacha Arsenal point kumi
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #8 Timu ndiyo zinajiandaa kuingia
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #9 Southampton wako katikati ya msimamo wa ligi hawawezi kushuka daraja lakini wakishinda Europa itawanukianukia
Southampton wako katikati ya msimamo wa ligi hawawezi kushuka daraja lakini wakishinda Europa itawanukianukia
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #10 ManCity ni timu pekee ya EPL haijawhi kuchezesha timu bila kubadili wachezaji
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #11 Timu zote zinacheza hamirojo ya 4-4-1-1
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #12 Inaweza pia kuwa 4-3-2-1
L lingula70 JF-Expert Member Apr 16, 2014 4,053 1,963 Apr 15, 2017 #13 Kama una link ya mechi ya yanga ilete hapa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #14 Wakianza kucheza ni moja ya hizo hamirojo huchezwa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #15 Mpira imeanza Southampton 0-0 ManCity
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #16 Kwa wachezaji wa kamari chungulieni huu ubashiri wa mechi ya leo
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Apr 15, 2017 Thread starter #20 Agyerooooo kakosa goli