Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Speaking of Alikiba hakustahili ile tunzo hata yeye ana fahamu hilo!
Utumbuizaji ni zaidi ya kuimba live...utumbuizaji una ambatana na kukonga nyoyo za mashabiki uwapo stagini..! Utumbuizaji una ambatana na kuwafanya mashabiki wacheze na wewe .....!
kwa vigezo vyote ulivyotaja kuna msanii anayemfikia bella christian Tz kama mauno anaya kuimba usiseme we unaongea ki ushabiki co uhalisia
 
Eti huyu naye Vanessa anataka apewe tuzo, heri hata snura ndo angeweza kupambana na yemi Alade.
mi nasema nafasi ya vanesa ilikuwa awe linah sanga sema jamaa usipofanya nao collabo plus kujuana utasubiri sana ole themba ni balaa ile
 
Kama nawaona Wizkid, Davido n Mr.flavour wakiruka kwa furahaaa
 
kumbe ata Vanessa humsupport nilijua mond peke yake... watz tuna kazi sana
hapana namsapot ila hakustaili mi nasema bora lina kuliko huyo miss meru sema ushikaji hadi ufanye collabo au ujuane nao
 
mi nasema nafasi ya vanesa ilikuwa awe linah sanga sema jamaa usipofanya nao collabo plus kujuana utasubiri sana ole themba ni balaa ile

Kweli mkuu, sijui wanatumia vigezo gani hawa jamaa.
 
Kweli mkuu, sijui wanatumia vigezo gani hawa jamaa.
yani kwenye bumbum best collabo ndo waliniacha hoi kwa upande wa vanesa kufanya kazi nao kumemsaidia kuwa nomineted ila dai collabo give him strength
 
Endapo dai atachukiwa tunzo yoyote mwenge categories alikuwa nomineted atakuwa msanii bora sana africa
 
mi nasema nafasi ya vanesa ilikuwa awe linah sanga sema jamaa usipofanya nao collabo plus kujuana utasubiri sana ole themba ni balaa ile

mkuu wimbo unaweza ukawa bora kwako, lakini kama haujafanya vyema kimataifa ni sifuri...

Kama wimbo ni mkali, ukipeleka kwenye vituo vya kimataifa utapokelewa, kama ni bora zaidi utafikia hatua ya kuchezwa kwenye charts zao.. Na ukikubalika zaidi ndio tunakuja kuona nominations za nyimbo bora n.k

Unapokuwa unahit from tthe start to the end of the year, unatoa nyimbo zinazokubalika, unafanya matamasha au performance zenye hadhi, video kali kiujumla kila kona ufanye vyema, tunakuja kupata list ya wasanii watano ambao ndio best male nominees na best female

Unapokuja kwenye suala la best live, kwanza kabisa wanaangalia unaperform wapi?? lazima uwe umetoa performance kwenye matukio ya kiheshima, unainfluence ya kuvuta audience, unanguvu ya kutosha unapokuwa kwa stage, dance moves, kuimba(japokuwa sio big deal iwe live-coz ingekuwa hivyo hata performance zao wangelazimu iwe hivyo)
 
wizkid mi ndo kaniacha hoi kaomba kura cku moja tu ila wengine wakiamka tu tangazo vote for me tz jiamini mwanaume kama wizikidayo au p square co kila cku matangazo click bio to watch click bio to vote whaaat #wizikidayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…