Adolf Mark
Member
- Nov 4, 2011
- 50
- 26
Wadau nawaletea live updates kutoka nyomi ya UKAWA hapa Majimatitu jimbo jipya la Mbagala.
Wanazidi kumiminika hapa, anasubiriwa diwani mtarajiwa Kipende Omary na mbunge Kondo Bungo, huyu mc anasema moto moto watu wanaitikia tunaichoma CCM, watu wamejaa nyomi hakuna pa kuweka mguu hapa.