Live updates Mkutano wa Dr. Slaa Morogoro.

Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini

nz huyo raisi wako unaemjua wewe unajua ana watoto wangapi nje ya ndoa? Slaa alikua padri hakuwahi kuoa sasa huyu mhuni wenu ana vobinti kibao na ana ndoa tumia akili yako ya darasa latatu vizuri tu
 
Jamaa wakija hapa watasema hii ni adobe photoshop!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…