Live Updates:Costal Union vs Yanga

Mtangazaji azam tv bure kabisa, sijui kama ndo wameagizwa wafanye hivyo na mwajiri wao.
 
Mtangazaji azam tv bure kabisa, sijui kama ndo wameagizwa wafanye hivyo na mwajiri wao.

Ndio mambo yetu ya Bongo hayo. Mfurahishe mwajiri wako! Hao lambalamba ni anti Yanga
 
Half time, watoto wa simba 0-1 yanga
 
Hivi kandambili si waliambiwa wasusie Azam TV,?

Naweka kumbukumbu vizuri: Tumezuiliwa kabisa kutumia blog ya Bin Zubeiry. Azam TV tumekataa kuchukua fedha zao kiduchu kwani tunayo zaidi ya hiyo, tumewakubalia waoneshe mechi zetu bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…